Open main menu
Bariadi kati ya wilaya za Shinyanga kabla ya mkoa kumegwa mwaka 2012.

Wilaya ya Bariadi ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Simiyu, yenye postikodi namba 39100 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 422,916 [2] Misimbo ya posta ya wilaya hii inaanza kwa 391xx.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
  Kata za Wilaya ya BariadiMkoa wa Shinyanga - Tanzania  

Bariadi | Bunamhala | Dutwa | Gambosi | Gilya | Guduwi | Ikungulyabashashi | Isanga | Kasoli | Kilalo | Malambo | Matongo | Mhango | Mwadobana | Mwaubingi | Mwaumatondo | Ngulyati | Nkindwabiye | Nkololo | Nyakabindi | Nyangokolwa | Sakwe | Sapiwi | Sima | Somanda