Wilaya ya Bunyangabu


Wilaya ya Bunyangabu ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2017 kutokana na wilaya ya Kabarole.

Wilaya ya Bunyangabu
Majiranukta: 00°29′N 30°12′E / 0.483°N 30.200°E / 0.483; 30.200
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
mji mkuu Kibiito
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 171,292
Tovuti:  http://www.bunyangabu.go.ug

Idadi ya wakazi wakati wa sensa ya mwaka 2014 ilihesabiwa kuwa 171,292.

Tazama pia hariri