Wilaya ya Butiama ni wilaya mojawapo kati ya 9 za mkoa wa Mara, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Makao makuu ya wilaya yako Butiama.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya ilikuwa na wakazi wapatao 241,732 waishio humo[1] na katika ile ya mwaka 2022, walihesabiwa 281,656 [2].

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Butiama - Mkoa wa Mara - Tanzania
 

Bisumwa | Buhemba | Bukabwa | Buruma | Busegwe | Buswahili | Butiama | Butuguri | Bwiregi | Kamumegi | Kukirango | Kyanyari | Masaba | Mirwa | Muriaza | Nyamimange | Nyankanga | Sirorisimba


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Butiama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.