Wilaya ya Chlef
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Chlef (Aljeria))
Chlef (kwa Kiarabu:| الشلف ash-shlef) ni wilaya mojawapo ya Algeria. Takriban watu milioni 1 wanaishi jimboni hapa.
Jimbo la Chlef | |
ولاية الشلف | |
Ramani ya Algeria imekoozeshwa katika Jimbo la Chlef | |
Kodi ya Jimbo | 2 |
Kodi ya Eneo | +213 (0) 27 |
Ngazi ya Utawala | |
Wilaya | 13 |
Manispaa | 35 |
Liwali | Mr. Mohamed El Ghazi |
Rais wa Bunge | Mohamed Meheni (FLN) |
Takwimu za Msingi | |
Eneo | 4,975 km² (1,921 sq mi) |
Idadi ya wakazi | 1,013,718[1] (2008) |
Density | 203.8/km² (527.7/sq mi) |
Mji mkuu ni Chlef. Wilaya yake ya karibu ni Ténès, ambayo ipo kwenye eneo la Bahari ya Mediteranea.
Mgawanyiko wa kiutawala jimboni hapa
haririImegawanyika katika tarafa 13 na manispaa 35. Tarafa zake ni:
Marejeo
hariri- ↑ Office National des Statistiques, Recensement General de la Population et de l’Habitat 2008 Preliminary results of the 2008 population census. Accessed on 2008-07-02.
Viungo vya Nje
hariri- A website about Chlef Province Archived 22 Februari 2005 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Chlef kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |