Dodoma vijijini
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Dodoma Vijijini)
Dodoma Vijijini ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Dodoma wenye msimbo wa posta 41200.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Dodoma Vijijini ilihesabiwa kuwa 440,565 [1].
Tangu mwaka 2007 imegawiwa kuwa wilaya 2 mpya za wilaya ya Bahi na wilaya ya Chamwino.