Wilaya ya Chamwino

Kwa maana mengine ya jina hilo angalia Chamwino (maana)

Chamwino ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Dodoma Tanzania yenye postikodi namba 41400[1] , ambayo ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 2007. Idadi ya wakazi wa wilaya hii ilikuwa watu wapatao 19175 wakati wa sensa ya mwaka 2012. [2]

Makao makuu ya wilaya yako Chamwino mjini.

MarejeoEdit

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. Sensa ya 2012, Dodoma- Chamwino[dead link]

Viungo vya NjeEdit

  Kata za Wilaya ya Chamwino - Mkoa wa Dodoma - Tanzania  

Buigiri | Chamwino mjini | Chiboli | Chilonwa | Chinugulu | Dabalo | Fufu | Handali | Haneti | Huzi | Idifu | Igandu | Ikombolinga | Ikowa | Iringa Mvumi Zamani | Itiso | Loje | Majeleko | Makang'wa | Manchali | Manda | Manzase | Membe | Mlowa Barabarani | Mlowa Bwawani | Mpwayungu | Msamalo | Msanga | Muungano | Mvumi Makulu | Mvumi Mission | Nghaheleze | Nghambaku | Nhinhi | Segala | Zajilwa