Wilaya ya Kaloleni
Wilaya ya Kaloleni ilikuwa wilaya ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake yalikuwa Kaloleni mjini.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kaloleni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |