Wilaya ya Kishapu ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Shinyanga, Tanzania.

Mahali pa Kishapu (kijani cheusi) katika mkoa wa Shinyanga (kijani) na Tanzania kwa jumla.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 240,086 [1] na katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 335,483 [2].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Kishapu - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania  

Bubiki | Bunambiyu | Bupigi | Busangwa | Idukilo | Igaga | Itilima | Kiloleli | Kishapu | Lagana | Maganzo | Masanga | Mondo | Mwadui Lohumbo | Mwakipoya | Mwamalasa | Mwamashele | Mwasubi | Mwataga | Mwaweja | Ndoleleji | Ngofila | Seke-Bugoro | Shagihilu | Somagedi | Songwa | Talaga | Uchunga | Ukenyenge


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kishapu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.