Wilaya ya Kondoa Mjini

Wilaya ya Kondoa Mjini ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41700[1]. Mnamo mwaka 2015 maeneo ya Dodoma Mjini ndipo yalipotengwa kuwa halmashauri ya pekee kutoka Wilaya ya Kondoa).

Mahali pa wilaya za Kondoa (kijani kilichokolea) katika mkoa wa Dodoma.

Makao ya halmashauri ya wilaya yapo Kondoa mjini. Mnamo mwaka 2015, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kondoa Mjini ilihesabiwa kuwa 64,147. [2] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 80,443 [3].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Kondoa Mjini - Mkoa wa Dodoma - Tanzania  

Bolisa | Chemchem | Kilimani | Kingale | Kolo | Kondoa Mjini | Serya | Suruke


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kondoa Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.