Wilaya ya Kondoa Vijijini

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Kondoa)

Wilaya ya Kondoa Vijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma Tanzania yenye postikodi namba 417000[1] . Makao ya halmashauri ya wilaya yapo Kondoa mjini. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kondoa ilihesabiwa kuwa 269,704. [2]

Mahali pa Kondoa (kijani) katika mkoa wa Dodoma.

Ndani ya wilaya hii kuna Michoro ya Kondoa, mahali pa sanaa ya miambani ambayo ni mahali pa urithi wa dunia.

Mnamo mwaka 2015 maeneo ya Dodoma Mjini yametengwa kuwa halmashauri ya pekee (Wilaya ya Kondoa Mjini).

MarejeoEdit

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. Sensa ya 2012, Dodoma - Kondoa DC[dead link]
  Kata za Wilaya ya Kondoa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania  

Bereko * Bumbuta * Busi * Changaa * Haubi * Hondomairo * Itaswi * Itololo * Kalamba * Keikei * Kikilo * Kikore * Kinyasi * Kisese * Kwadelo * Masange * Mnenia * Pahi * Salanka * Soera * Thawi


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kondoa Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.