Wilaya ya Manyoni
Wilaya ya Manyoni ni wilaya moja ya Mkoa wa Singida yenye msimbo wa posta 43400[1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 296.763 [2].
Manyoni | |
Mahali pa Manyoni katika Tanzania | |
Majiranukta: 5°45′17″S 34°49′47.5″E / 5.75472°S 34.829861°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Singida |
Wilaya | Manyoni |
Idadi ya wakazi | |
- | 296,763 |
Mwaka 2015 maeneo ya Wilaya ya Itigi yalitengwa na wilaya ya Manyoni[3].
MarejeoEdit
- ↑ https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode[dead link]
- ↑ Sensa ya 2012, Singida - Manyoni District Council
- ↑ History, kwenye tovuti ya Halmashauri ya Itigi
Viungo vya NjeEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Manyoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |
Kata za Wilaya ya Manyoni - Mkoa wa Singida - Tanzania | ||
---|---|---|
Chikola | Chikuyu | Heka | Isseke | Kintinku | Majiri | Makanda | Makuru | Makutopora | Manyoni | Maweni | Mkwese | Muhalala | Nkonko | Sanza | Saranda | Sasajila | Sasilo | Solya |