Wilaya ya Itigi ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Singida yenye msimbo wa posta inayoanza kwa 434 kwa kuwa maeneo ya wilaya hiyo yalikuwa sehemu ya wilaya ya Manyoni hadi mwaka 2015[1].

Itigi
Itigi is located in Tanzania
Itigi
Itigi

Mahali pa Rungwa-Itigi katika Tanzania

Majiranukta: 5°44′34″S 34°50′29″E / 5.74278°S 34.84139°E / -5.74278; 34.84139
Nchi Tanzania
Mkoa Singida
Wilaya Wilaya ya Itigi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 215,947

Mwaka huo, idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 123,515 [2]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 215,947 [3].

Makao makuu yako Itigi mjini.

Sehemu kubwa ya eneo lake ni hifadhi za wanyamapori za Kizigo, Muhesi na Rungwa.

Marejeo hariri

  1. History, kwenye tovuti ya Halmashauri ya Itigi
  2. Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dar es Salaam
  3. https://www.nbs.go.tz

Viungo vya Nje hariri

  Kata za Wilaya ya Itigi - Mkoa wa Singida - Tanzania  

Aghondi | Idodyandole | Ipande | Itigi Majengo | Itigi Mjini | Kalangali | Kitaraka | Mgandu | Mitundu | Mwamagembe | Rungwa | Sanjaranda | Tambukareli


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Itigi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.