Wilaya ya Misungwi
Wilaya ya Misungwi ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Mwanza.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 351,607 waishio humo [1] na katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 467,867 [2].
Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa tarakimu za 335.
Marejeo
haririKata za Wilaya ya Misungwi - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
---|---|---|
Buhingo | Buhunda | Bulemeji | Busongo | Fella | Gulumungu | Idetemya | Igokelo | Ilujamate | Isenengeja | Kanyelele | Kasololo | Kijima | Koromije | Lubili | Mabuki | Mamaye | Mbarika | Misasi | Misungwi | Mondo | Mwaniko | Nhundulu | Shilalo | Sumbugu | Ukiriguru | Usagara |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Misungwi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |