Wilaya ya Musoma Vijijini
Wilaya ya Musoma ni wilaya mojawapo kati ya 9 za Mkoa wa Mara yenye postikodi namba 31200.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 330,953 [1] na katika ile ya mwaka 2022, baada ya kumegwa, walihesabiwa 266,655 [2].
Marejeo
hariri- ↑ "Tanzania census Musoma Rural". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-18. Iliwekwa mnamo 2003-12-18.
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Kata za Musoma Vijijini - Mkoa wa Mara - Tanzania |
||
---|---|---|
Bugoji | Bugwema | Bukima | Bukumi | Bulinga | Busambara | Bwasi | Etaro | Ifulifu | Kiriba | Makojo | Mugango | Murangi | Musanja | Nyakatende | Nyambono | Nyamrandirira | Nyegina | Rusoli | Suguti | Tegeruka |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Musoma Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |