Wilaya ya Omoro ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kaskazini, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2016 kutokana na wilaya ya Gulu.

Wilaya ya Omoro
Majiranukta: 02°35′N 32°22′E / 2.583°N 32.367°E / 2.583; 32.367
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
mji mkuu Palenga
Tovuti:  http://www.omoro.go.ug

Tazama pia

hariri