Wilaya ya Pader
Wilaya ya Pader ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kaskazini, Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 325,900.
Wilaya ya Pader | |
Mahali pa Wilaya ya Pader katika Uganda | |
Majiranukta: 02°50′N 33°05′E / 2.833°N 33.083°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
mji mkuu | Pader |
Eneo | |
- Jumla | 8,282 km² |
Idadi ya wakazi (2002 Makadirio) | |
- Wakazi kwa ujumla | 325,900 |
Tovuti: http://www.pader.go.ug |
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Pader kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |