Wilaya ya Pakwach

Wilaya ya Pakwach ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kaskazini, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2017 kutokana na wilaya ya Nebbi.

Wilaya ya Pakwach
Majiranukta: 02°28′N 31°30′E / 2.467°N 31.5°E / 2.467; 31.5
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
mji mkuu Pakhwac
Tovuti: http://www.pakwach.go.ug

Tazama piaEdit