Wilaya ya Rubanda
Wilaya ya Rubanda ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2016 kutokana na wilaya ya Kabale.
Wilaya ya Rubanda | |
Majiranukta: 01°11′N 29°51′E / 1.183°N 29.850°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
mji mkuu | Rubanda |
Tovuti: http://www.rubanda.go.ug |
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Rubanda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |