Wilaya ya Rukiga
Wilaya ya Rukiga ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2017 kutokana na wilaya ya Kabale.
Wilaya ya Rukiga | |
Majiranukta: 01°11′N 30°06′E / 1.183°N 30.100°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
mji mkuu | Mparo |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 100,726 |
Tovuti: http://www.rukiga.go.ug |
Idadi ya wakazi wakati wa sensa ya mwaka 2014 ilihesabiwa kuwa 100,726.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Rukiga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |