Szabolcs-Szatmár-Bereg
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Szabolcs-Szatmár-Bereg)
Szabolcs-Szatmár-Bereg ni moja ya wilaya 19 ya kujitawala ya Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 572,423. Mji wake mkuu ni Nyíregyháza.
Szabolcs-Szatmár-Bereg | |
Mahali pa Wilaya ya Szabolcs-Szatmár-Bereg katika Hungaria | |
Nchi | Hungaria |
---|---|
Mkoa | Mkuu Tambarare Kaskazini |
Mji mkuu | Nyíregyháza |
Eneo | |
- Jumla | 5,936 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 572,423 |
Tovuti: http://www.szszbmo.hu/ |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Szabolcs-Szatmár-Bereg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Bács-Kiskun · Baranya · Békés · Borsod-Abaúj-Zemplén · Csongrád · Fejér · Győr-Moson-Sopron · Hajdú-Bihar · Heves · Jász-Nagykun-Szolnok · Komárom-Esztergom · Nógrád · Pest · Somogy · Szabolcs-Szatmár-Bereg · Tolna · Vas · Veszprém · Zala |