Wilaya ya Tandahimba

Wilaya ya Tandahimba ni wilaya moja ya Mkoa wa Mtwara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 227,514 [1] Wengi wao ni Wamakonde.

Mahali pa Tandahimba (kijani) katika mkoa wa Mtwara.

Eneo la wilaya lina kilomita za mraba 1,894.


Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Tandahimba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
  Kata za Wilaya ya Tandahimba - Tanzania  

Chaume | Chikongola | Chingungwe | Dinduma | Kitama 1 | Kwanyama | Litehu | Luagala | Lukokoda | Lyenje | Mahuta | Malopokelo | Maundo | Mchichira | Mdimba Mnyoma | Michenjele | Mihambwe | Miuta | Milongodi | Mkonjowano | Mkoreha | Mkundi | Mkwedu | Mkwiti | Mndumbwe | Mnyawa | Nambahu | Namikupa | Nanhyanga | Naputa | Ngunja | Tandahimba