Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Makonde

Wamakonde ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara. Pia wako Msumbiji.

Lugha yao ni Kimakonde.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamakonde kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.