Wilaya ya Tarime Mjini
Wilaya ya Tarime Mjini ni wilaya mojawapo kati ya 9 za Mkoa wa Mara.
Katika sensa ya mwaka 2022, wakazi walihesabiwa 133,043 [1].
Makao makuu ya wilaya yapo mjini Tarime.
Marejeo
haririKata za Wilaya ya Tarime Mjini - Mkoa wa Mara - Tanzania |
||||
---|---|---|---|---|
Bomani * Kenyamanyori * Ketare * Nkende * Nyamisangura * Nyandoto * Sabasaba * Turwa
|