Wilaya ya Uyui ni wilaya moja ya Mkoa wa Tabora yenye postikodi namba 45200 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya hii ilikuwa na wakazi wapatao 396,623 waishio humo.[2]

Mahali pa Uyui (kijani) katika mkoa wa Tabora.

Marejeo Edit

  Kata za Wilaya ya Uyui - Mkoa wa Tabora - Tanzania  

Bukumbi | Goweko | Ibelamilundi | Ibiri | Igalula | Igulungu | Ikongolo | Ilolanguru | Isikizya | Isila | Kalola | Kigwa (Uyui) | Kizengi | Loya | Lutende | Mabama | Magiri | Makazi | Miswaki | Miyenze | Mmale | Ndono | Nsimbo | Nsololo | Shitage | Tura | Ufuluma | Upuge | Usagari


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Uyui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.