Vas (wilaya)
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Vas)
Vas ni moja ya wilaya 19 ya kujitawala ya Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 261,900. Mji wake mkuu ni Szombathely.
Vas | |
Mahali pa Wilaya ya Vas katika Hungaria | |
Nchi | Hungaria |
---|---|
Mkoa | Transdanubia ya Magharibi |
Mji mkuu | Szombathely |
Eneo | |
- Jumla | 3,336 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 261,900 |
Tovuti: http://www.vasmegye.hu/ |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vas (wilaya) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Bács-Kiskun · Baranya · Békés · Borsod-Abaúj-Zemplén · Csongrád · Fejér · Győr-Moson-Sopron · Hajdú-Bihar · Heves · Jász-Nagykun-Szolnok · Komárom-Esztergom · Nógrád · Pest · Somogy · Szabolcs-Szatmár-Bereg · Tolna · Vas · Veszprém · Zala |