Veszprém (wilaya)

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Veszprém)

Veszprém ni moja ya wilaya 19 ya kujitawala ya Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 375,000. Mji wake mkuu ni Veszprém.

Sehemu ya Mkoa wa Veszprém


Veszprém
Mahali paVeszprém
Mahali paVeszprém
Mahali pa Wilaya ya Veszprém katika Hungaria
Nchi Bendera ya Hungaria Hungaria
Mkoa Transdanubia ya Kati
Mji mkuu Veszprém
Eneo
 - Jumla 4,613 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 375,000
Tovuti:  http://www.vpmegye.hu/

Tazama pia

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Veszprém (wilaya) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Wilaya za Hungaria
 
Bács-Kiskun · Baranya · Békés · Borsod-Abaúj-Zemplén · Csongrád · Fejér · Győr-Moson-Sopron · Hajdú-Bihar · Heves · Jász-Nagykun-Szolnok · Komárom-Esztergom · Nógrád · Pest · Somogy · Szabolcs-Szatmár-Bereg · Tolna · Vas · Veszprém · Zala