Wilaya ya Wete
Wilaya ya Wete ni jina la wilaya iliyopo katika Mkoa wa Pemba Kaskazini yenye postikodi namba 75100[1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa ni 107,916. [2]

Mahali pa Wete katika mkoa wa Pemba Kaskazini.
MarejeoEdit
- ↑ Postikodi za Mkoa wa Pemba Kaskazini[dead link]
- ↑ Sensa ya mwaka 2012, Mkoa wa Pemba Kaskazini - Wete. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-03-29. Iliwekwa mnamo 2018-03-23.
Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Wete kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
Kata za Wilaya ya Wete - Mkoa wa Pemba Kaskazini - Tanzania | ||
---|---|---|
Bopwe * Chwale * Fundo * Gando * Jadida * Junguni * Kambini * Kangagani * Kinyikani * Kipangani * Kisiwani * Kiungoni * Kiuyu Kigongoni * Kiuyu Minungwini * Kizimbani * Kojani * Limbani * Maziwani * Mchanga Mdogo * Mjini Ole * Mpambani * Mtambwe Kaskazini * Mtambwe Kusini * Mzambarauni Takao * Ole * Pandani * Pembeni * Piki * Selem * Shengejuu * Ukunjwi * Utaani |