Wilaya za Botswana

Botswana imegawanyika katika wilaya 17: 10 za vijijini na 7 za mijini.[1]

Wilaya ya Kaskazini-Magharibi (Botswana)Wilaya ya ChobeWilaya ya Kati (Botswana)Wilaya ya Kaskazini-Mashariki (Botswana)Wilaya ya GhanziWilaya ya KwenengWilaya ya KgatlengWilaya ya KgalagadiWilaya ya Kusini (Botswana)Wilaya ya Kusini-Mashariki (Botswana)
Wilaya za Botswana. Makala juu ya kila moja inapatikana kwa kubofya juu ya ramani yake. Wilaya za mijini hazionyeshwi.
Wilaya Wakazi Eneo (km2)
Gaborone City 231592 169
Francistown City 98961 79
Lobatse Town 29007 42
Selebi-Phikwe Town 49411 50
Jwaneng Town 18008 100
Orapa Town 9531 17
Sowa Township 3598 159
Wilaya ya Kusini 197767 28470
Wilaya ya Kusini-Mashariki 85014 1780
Wilaya ya Kweneng 304549 31100
Wilaya ya Kgatleng 91660 7960
Wilaya ya Kati 576064 142076
Wilaya ya Kaskazini-Mashariki 60264 5120
Wilaya ya Ngamiland 152284 109130
Wilaya ya Chobe 23347 20800
Wilaya ya Ghanzi 43095 117910
Wilaya ya Kgalagadi 50752 105200
Jumla[2]

Tanbihi

hariri
  1. Botswana Government Ministries & Authorities
  2. Census report has total area as 581730 km2, which presumably includes water area.