William Alison Russell

Sir William Alison Russell (18751948), anayejulikana kama Sir Alison Russell alikuwa wakili wa Uskoti ambaye alihudumu wakati wa ukoloni wa Uingereza kama wakili na hakimu.

Maisha ya awali

hariri

William Alison Russell alizaliwa mwaka wa 1875, ni mtoto wa George Russell, mhandisi, Binamu yake alikuwa msanii wa Australia John Russell. Rafiki yake wa karibu alikuwa mchoraji wa Australia. Alisoma Shule ya Rugby. Katika maisha yake ya kibinafsi Alison Russell alikuwa akifanya kazi katika meli . Alipendezwa na sanaa ya uchoraji, alichora kwa kutumia rangi za maji na alikuwa mwanamuziki bora. Akawa wakili wa sheria.

Alison Russell alitumikia nyadhifa mbalimbali za kisheria katika ofisi za Wakoloni wa Uingereza barani Afrika, Mediterania na West Indies.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Alison Russell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.