1875
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| ►
◄◄ |
◄ |
1871 |
1872 |
1873 |
1874 |
1875
| 1876
| 1877
| 1878
| 1879
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1875 BK (Baada ya Kristo).
Matukio Edit
Waliozaliwa Edit
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
- 14 Januari - Albert Schweitzer, daktari, mwanafalsafa na mmisionari nchini Gabon, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1952
- 6 Juni - Thomas Mann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1929)
- 9 Juni - Henry Dale (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1936)
- 26 Julai - Carl Gustav Jung, mwanasaikolojia kutoka Uswisi
Waliofariki Edit
- 7 Machi - John Edward Gray, mtaalamu wa zoolojia kutoka Uingereza
- 17 Mei - John Breckinridge, Kaimu Rais wa Marekani (1857-1861)
- 3 Juni - Georges Bizet, mtunzi wa opera kutoka Ufaransa
- 31 Julai - Andrew Johnson, Rais wa Marekani (1865-1869)
- 24 Oktoba - Jacques Paul Migne, padre Mkatoliki kutoka Ufaransa
- 22 Novemba - Henry Wilson, Kaimu Rais wa Marekani (1873-1875)