William Bragg

Tuzo Nobel.png

William Henry Bragg (2 Julai 186210 Machi 1942) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza mionzi ya eksirei. Mwaka wa 1915, pamoja na mwana wake, Lawrence Bragg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

William Henry Bragg
Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Bragg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.