William Stèvie Kossangue-Toro (alizaliwa Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati, 9 Machi 1986) ni raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, mchezaji mpira wa kikapu ambaye kwa sasa anaichezea timu ya Union Sportive Alfortville Basket inayoshirika ligi ya Nationale Masculine 3 (NM3) nchini Ufaransa.[1]

Wasifu

hariri

Kossangue alizaliwa. Baba yake ni Jean aliyekuwa wakili.

Maisha ya chuo

hariri

Kossangue alianza kucheza mpira wa kikapu katika chuo cha Tyle Junior kabla ya kuamia Campbell Fighting Camels.

Marejeo

hariri
  1. Eurobasket. "William Kossangue-Toro Player Profile, Union Sportive Alfortville Basket, News, Stats - Eurobasket". Eurobasket LLC. Iliwekwa mnamo 2022-09-03.