Winox Com
Winox Com ni mtandao wa kijamii ulioundwa nchini Tanzania mahususi kwa kuunganisha na kuelimisha jamii.
[1] Logo used from 2023 | |
URL | winoxcom.com |
---|---|
Kaulimbiu | Talk To Friends |
Biashara? | None |
Aina ya tovuti | Mobile App
[3] |
Usajili | August 25th, 2023 |
Lugha zilizopo | English, Kiswahili |
Leseni | Winox Com, Inc. |
Mmiliki | Destin Michael |
Mapato | None |
Sasa | Active |
Watumiaji wake wanaweza kutafuta marafiki, kujadili mada tofauti zinazohusiana na maisha pamoja na jamii kwa ujumla.