Wizara ni sehemu ya serikali inayoshughulikia sehemu maalumu ya utawala wa nchi ikiongozwa na waziri. Kila nchi ina idadi na majina tofauti ya wizara zake.

Mifano

hariri

Wizara huwa na idara tofauti ambazo huongozwa na katibu mkuu. Wizara ya Ulinzi na ya Mambo ya Ndani na Uratibu wa Kitaifa ziko chini ya Ofisi ya Rais wa Kenya[1].

Tanbihi

hariri
  1. "Uhuru unveils govt structure of 18 ministries", Huduma ya Utangazaji wa Urais, ilipatikana 21-03-2018