Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wizara ya Ardhi (Kiingereza: Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development kifupi (ARDHI)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dodoma.[1]

  1. 1.0 1.1 "MLHHSD | Mwanzo". www.lands.go.tz. Iliwekwa mnamo 2025-05-31.

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri