Wizara ya Maliasili na Utalii

Wizara ya Maliasili na Utalii (kwa Kiingereza: Ministry of Natural Resources and Tourism; kifupi MNRT) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dodoma.

MarejeoEdit

Tazama piaEdit