Wizara ya Mambo ya Ndani

Wizara ya Mambo ya Ndani (Kiingereza: Ministry of Home Affairs kifupi (MoHA)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.

MarejeoEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit