Wizara ya Miundombinu

Wizara ya Miundombinu (Kiingereza: Ministry of Infrastructure Development) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.

Kazi yake ni kupanga na kusimami maendeleo ya miundombinu nchini.

Marejeo hariri

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri