Wizara ya Uchukuzi
Wizara ya Uchukuzi (Kiingereza: Ministry of Transport) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.
Marejeo
haririTazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 22 Agosti 2013 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |