Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki

Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (Kiingereza: Ministry of East African Cooperation kifupi (MEAC)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.

Marejeo hariri

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri