Xai-Xai ni mji mkuu wa mkoa wa Gaza nchini Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 127.366.

Sehemu ya mji wa Xai-Xai


Xai-Xai
Nchi Msumbiji
Mkoa Gaza
Idadi ya wakazi (2005)
 - Wakazi kwa ujumla 127.366

Tazama pia

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Xai-Xai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.