Yacine Babouche, (alizaliwa 21 Machi, 1978) ni mchezaji wa soka nchini Algeria anayechezea klabu ya CA Batna katika Ligi ya Algeria Professionnelle 1, kama kipa. Alikuwa mshindi wa pili katika Kombe la Algeria la 2009-10.[1]

Marejeo hariri

  1. "Profile". Soccerway. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yacine Babouche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.