Yamagata, Yamagata
Yamagata (山形市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Yamagata. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 250,000 wanaoishi katika mji huu.
Yamagata | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Tōhoku | ||
Mkoa | Yamagata | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 254,441 | ||
Tovuti: www.city.yamagata.yamagata.jp |
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2003 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Yamagata, Yamagata kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |