Yanga Princess ni klabu ya soka ya wanawake ya Kitanzania yenye maskani yake Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Klabu hii inashiriki Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania.[1][2]

Klabu hii ina uhusiano na Young Africans SC wanaocheza Ligi Kuu Bara. [3]

Marejeo hariri

  1. "Ubingwa Yanga Princess, Simba Queens uko hapa". Mwanaspoti (kwa Kiingereza). 2021-05-14. Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  2. cfeditoren (2021-03-05). "YANGA PRINCESS, SIMBA QUEENS no one comes out". Tanzania (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  3. "FA Cup: To avoid heartbreak Yanga SC should play Simba Queens - Mgosi taunts | Goal.com". www.goal.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-14.