Yasmin (jina)
Yasmin ni jina la kike, na wakati mwingine hutumika kama jina la ukoo. Aina mbalimbali za tahajia hutumika kama Yasmini, Yasemin, Yasmeen, Yasmina, Yasmine, na Yassmin.
Usemi | jɑːsmiːn |
---|---|
Jinsia | Mwanamke |
Chanzo | |
Neno/jina | Kutoka neno la Kiajemi la Yasmini, ua la yas |
Majina mengine | |
Tahajia tofauti | Yasaman, Yasman, Yasamin, Yasemin, Yasameen, Yasmina, Yasmine, Yasmini Yasmeena, Yasmīn, Yasmīne, Yasmeen |
Yasmin (یاسمن) ni jina la Kiajemi linalotokana na jina la mmea fulani wenye maua.[1]
Jina la kwanza
haririYasemin
hariri- Yasemin Adar (aliyezaliwa 1991), mgombea wa michezo wa Kituruki
- Yasemin Begüm Dalgalar (aliyezaliwa 1988), mchezaji wa mpira wa kikapu wa Kituruki
- Yasemin Bradley, daktari wa kike wa Kituruki aliye na utaalamu wa lishe, pia mtangazaji wa televisheni na mwandishi
- Yasemin Can (aliyezaliwa 1996), mkimbiaji wa mbali wa Kituruki mwenye asili ya Kenya
- Yasemin Çegerek (aliyezaliwa 1977), mwanasiasa wa Uholanzi mwenye asili ya Kituruki
- Yasemin Dalkılıç (aliyezaliwa 1979), mwovodhaji wa Kituruki
- Yasemin Ecem Anagöz (aliyezaliwa 1998), mlenga mishale wa Kituruki
- Yasemin Güler (aliyezaliwa 1994), mchezaji wa mpira wa mikono wa Kituruki
- Yasemin Horasan (aliyezaliwa 1983), mchezaji wa mpira wa kikapu wa Kituruki
- Yasemin Kozanoğlu (aliyezaliwa 1978), mwigizaji na mwanamitindo wa Kituruki
- Yasemin Mori (aliyezaliwa 1982), mwanamuziki wa Kituruki
- Yasemin Saylar (aliyezaliwa 1990), mchezaji wa mpira wa kikapu wa Kituruki
- Yasemin Smit (aliyezaliwa 1984), mchezaji wa polo ya maji wa Uholanzi
- Yasemin Şahin (aliyezaliwa 1988), mchezaji wa mpira wa mikono wa Uturuki
- Yasemin Ustalar, bondia wa Kituruki
Jina la kati
hariri- Özlem Yasemin Taşkın (aliyezaliwa 1985), muogeleaji wa Kituruki
Yasmeen
hariri- Yasmeen Al Maimani, rubani wa kwanza wa kike kutoka Saudi Arabia
- Yasmeen Ghauri, mwanamitindo wa Kanada
- Yasmeen Hameed, diwani wa lugha ya kiurdu wa Pakistani
- Yasmeen Hanoosh, Mwanasayansi wa Iraki
- Yasmeen Ismail, mwigizaji wa Pakistani
- Yasmeen Khair, mchezaji wa mpira wa miguu wa Yordani
- Yasmeen Khan, mwigizaji wa Pakistani
- Yasmeen Khan, mchezaji wa kriketi wa Namibia
- Yasmeen Murshed, mwanasiasa wa Bangladesh
- Yasmeen Pir Mohammad Khan, mwanasiasa wa Pakistani
Yasmin
hariri- Yasmin (muziki) , DJ na mwimbaji wa Uingereza
- Yasmin Abbasey (aliyezaliwa 1950), jaji wa Pakistani
- Yasmin Abdulaziz (aliyezaliwa 1980), mwigizaji wa Misri
- Yasmin Aga Khan (aliyezaliwa 1949), mfadhili wa Pakistan wa Marekani
- Yasmin Ahmad (1958-2009), mwandishi wa filamu wa Malaysia
- Yasmin Alibhai-Brown (aliyezaliwa 1949), mwandishi wa habari wa Uingereza aliyezaliwa Uganda
- Yasmin Al-Khudhairi (aliyezaliwa 1994/1995), mwigizaji wa Uingereza
- Yasmin Bannerman (aliyezaliwa 1972), mwigizaji wa Uiingereza
- Yasmin Benoit (aliyezaliwa 1996), mwanamitindo na mwanaharakati wa Uingereza
- Yasmin Brunet (aliyezaliwa 1988), mwanamitindo wa Brazili
- Yasmin Evans (aliyezaliwa 1990), mtangazaji wa televisheni na redio wa Uingereza
- Yasmin K. (aliyezaliwa 1986), mwanamuziki wa muziki wa kijerumani
- Yasmin Kafai, profesa wa Ujerumani
- Yasmin Kwadwo (aliyezaliwa 1990), mwanariadha wa Ujerumani
- Yasmin Qureshi (aliyezaliwa 1963), mwanasiasa wa Uingereza
- Yasmin Ratansi (aliyezaliwa 1951), mwanasiasa wa Canada
- Yasmin Warsame (aliyezaliwa 1976), mwanamitindo wa Kanada mwenye asili ya Somalia
- Yasmin Yusoff, mwanamuziki wa Malaysia
- Yasmin Zahran (aliyezaliwa 1933), mwandishi na mwanaakiolojia wa Palestina
Yasmina
hariri- Yasmina Khadra (aliyezaliwa 1955), mwandishi wa Algeria
- Yasmina Siadatan (aliyezaliwa 1981), mfanyabiashara wa Uingereza mwenye asili ya Uingereza na Irani
- Yasmina Zaytoun (aliyezaliwa 2002), mshindi wa mashindano ya uzuri wa Lebanon
Yassmin
hariri- Yassmin Abdel-Magied, mwanaharakati wa Australia
- Yassmin Alers, mwigizaji wa Amerika
Jina la ukoo
hariri- Samina Yasmeen, profesa wa kipakistani
- Sabina Yasmin, mwanamuziki wa Bangladesh
- Farida Yasmin, mwandishi wa habari wa Bangladesh
- Farida Yasmin, mwanamuziki wa Bangladesh
- Nilufar Yasmin, mwanamuziki wa Bangladesh
Marejeo
hariri- ↑ Hanks, Patrick; Hardcastle, Kate; Hodges, Flavia (2006). A dictionary of first names. Oxford paperback reference (tol. la 2nd ed). Oxford: Oxford Univ. Press. ISBN 978-0-19-861060-1.
{{cite book}}
:|edition=
has extra text (help)