Yinka Dare (Oktoba 10, 1972Januari 9, 2004) alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu wa Nigeria. Alicheza misimu minne katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu.

Maisha ya Mwanzo

hariri

Yinka alizaliwa Kano. Mnamo mwaka 1991 mwanasheria wa kinigeria alimuona Yinka akiwa amekaa kwenye kiti anakula. Mwanasheria huyu alimuuliza Yinka kama anajua ana urefu gani lakini Yinka hakuwa anafahamu. [1] Alikuwa na urefu wa futi 7 na nusu.

Tanbihi

hariri
  1. Lawyer brings Nigerian players to U.S. colleges; Dayton Daily News, 15 March 2001
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yinka Dare kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.