Yoichi Kuroda
Yoichi Kuroda (黒田 洋一 Kuroda Yōichi )[1] ni mwanamazingira wa Japani. Alitunukiwa Tuzo ya mazingira ya Goldman mwaka 1991 kwa kampeni yake dhidi ya utumizi usiowajibika wa miti migumu ya kitropiki Japani.
Alikuwa mwanzilishi wa shirika la wanaharakati Japan Tropical Forest Action Network (JATAN).
Marejeo
hariri- ↑ Kigezo:In lang JATANの10年を振り返って Ilihifadhiwa 12 Mei 2021 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yoichi Kuroda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |