Yosepher Ferdinand Komba

Yosepher Ferdinand Komba ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017