Yoshinori Sakai
Yoshinori Sakai (坂井 義則, Sakai Yoshinori,Agosti 6, 1945 - Septemba 10, 2014) alikuwa mshika mwenge wa Olimpiki ambaye aliwasha sufuria kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 1964 huko Tokyo.[1]
Marejeo
hariri- ↑ No.2 Teruji Kogake (President of the Tokyo Athletic Association). Tokyo 2016 website
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yoshinori Sakai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |