10 Septemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Septemba 10)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Septemba ni siku ya 253 ya mwaka (ya 254 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 112.
Matukio
hariri- 1974 - Nchi ya Guinea Bisau inapata uhuru rasmi kutoka Ureno
Waliozaliwa
hariri- 1487 - Papa Julius III
- 1885 - Carl Van Doren, mwandishi kutoka Marekani
- 1892 - Arthur Holly Compton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 1917 - Masahiko Kimura, mwanariadha kutoka Japani
- 1935 - Mary Oliver, mshairi kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1308 - Go-Nijo, mfalme mkuu wa Japani (1301-1308)
- 1918 - Karl Peters, mwanzilishi wa koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
- 1921 - John Tengo Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1975 - George Thomson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937
- 1983 - Felix Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
- 2014 - Richard Kiel, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Nemesi wa Aleksandria, Nemesiani na wenzake, Pulkeria wa Konstantinopoli, Agabi wa Novara, Salvio wa Albi, Dodati, Aubati wa Avranches, Nikola wa Tolentino, Ambrosi Edwadi Barlow n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |